ⓘ Augustino Pak Chongwon

                                     

ⓘ Augustino Pak Chongwon

Augustino Pak Chongwon ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano ni tarehe 31 Januari.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
 • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
 • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
                                     

3. Viungo vya nje

 • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
 • List and brief description of martyrs
 • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
                                     
 • huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano Augustino Pak Chongwon Petro Hong Pyongju, Maria Yi Indok, Agata Yi Kyng - i, Agata Kwn
 • huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano Augustino Pak Chongwon Maria Yi Indok, Magdalena Son So - byg, Agata Yi Kyng - i, Agata Kwn
 • huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano Augustino Pak Chongwon Petro Hong Pyongju, Maria Yi Indok, Magdalena Son So - byg, Agata
 • huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake na ya wenzake watano Augustino Pak Chongwon Petro Hong Pyongju, Maria Yi Indok, Magdalena Son So - byg, Agata