ⓘ Charles Hyon Songmun

                                     

ⓘ Charles Hyon Songmun

Charles Hyon Songmun ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Katekista huyo na wafiadini wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, ila ya kwake mwenyewe ni tarehe 19 Septemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
                                     

3. Viungo vya nje

  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
  • List and brief description of martyrs
                                     
  • wa Bourges, Theodori wa Canterbury, Pomposa, Alfonso wa Orozco, Charles Hyon Songmun Maria Guliema Emilia n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: Septemba
  • Yohane Yi Munu Barbara Choe Yongi Antoni Kim Songu Andrea Kim Taegon Charles Hyon Songmun Petro Nam Kyongmun Laurenti Han Ihyong Suzana U Surim Yosefu Im Chipek
  • kinachoitwa Synaxarion. Waanglikana walimtangaza mtakatifu mmoja tu Mfalme Charles I wa Uingereza lakini wanawatambua watakatifu wengine waliotangazwa kuwa