ⓘ Bartholomayo Chong Munho

                                     

ⓘ Bartholomayo Chong Munho

Bartholomayo Chong Munho ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000.

Mlei huyo na wafiadini wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba.

                                     

1. Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje wanashirika wa Paris Foreign Missions Society.

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

                                     

2. Marejeo

  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John 1993. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
  • Dallet, Charles 1874. Histoire de lÉglise de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
  • Fathers of the London Oratory 1859. The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
                                     

3. Viungo vya nje

  • List and brief description of martyrs
  • History of the Missions Etrangeres de Paris MEP
  • Homily of Pope John Paul II given for the Mass for the canonization of the Korean martyrs
                                     
  • Soktu Thomas Son Chasuhn Bartholomayo Chong Munho Petro Cho Hwaso Petro Son Sonji Petro Yi Myongso Yosefu Han Wonso Petro Chong Wonji Yosefu Cho Yunho Yohane
  • Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Barsimeo wa Edessa Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Bartholomayo Chong Munho Ndiyo Ndiyo Bartolomayo Mtume Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Bartolomea