ⓘ Kabwe Zuberi Zitto

                                     

ⓘ Kabwe Zuberi Zitto

Kabwe Zuberi Zitto ni mwanasiasa nchini Tanzania. Kwa sasa ni mlezi wa chama cha Alliance for Change and Transparency.

Alisomea uchumi Tanzania na Ujerumani. Alikuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa niaba ya Chadema alipokuwa pia Mkurugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Kimataifa.

Mwaka 2015 alijiuzulu bungeni, akatoka katika chama cha Chadema na kujiunga na chama cha Umoja wa Mabadiliko na Uwazi Alliance for Change and Transparency, ACT. Katika uchaguzi wa 2015 alichaguliwa upya bungeni kama mgombea wa chama hiki.

                                     
  • Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe Hapa alikuwa akitokea CHADEMA. Huku nako hakudumu sana akajivua uanachama
  • N hunga Jumaa Hamidu Aweso Jumanne Kibera Kishimba Jumanne Maghembe Jux Kabwe Zuberi Zitto Kajala Masanja Kalapina Kali Ongala Kangi Alphaxard Lugola Kanku Kelly
  • Mbozi Mashariki CCM Mwanawetu Said Zarafi Kiti Maalum Wanawake CUF Kabwe Zuberi Zitto Kigoma Kaskazini CHADEMA Mzee Ngwali Zubeir Mkwajuni CCM Mussa Azan
  • Anastazia James Wambura Viti maalum vya wanawake CCM Selemani Jumanne Zedi Bukene CCM Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto Kigoma Mjini ACT Azzan Mussa Zungu Ilala CCM