ⓘ Xzibit

                                     

ⓘ Xzibit

Alvin Nathaniel Joiner Anafahamika zaidi kama Xzibit ni mwanamuziki wa Rap na Hip Hop, muigizaji, na pia mtangazaji wa TV kutoka mjini Detroit, Michigan, Marekani na kuinukia mjini Albuquerque, New Mexico akiwa na Baba yake mzazi pamoja na Mama yake wa Kambo.

Pia Xzibit anaendesha kipindi cha TV katika Televisheni ya MTVs maarufu kama "Pimp My Ride". Xzibit huwa anadesturi ya kila baada ya miaka miwili anatoa albamu mpya, tangu alivyotoa albamu ya kwanza mwaka 1996 iitwayo "At the Speed of Life" ikawa anakwaida ya kutoa mara tu miaka miwili imepita. Albamu iliyotoka karibuni ilkuwa ikiitwa "Full Circle" na ilitoka mwezi wa Oktoba 2006.

                                     

1. Maisha ya Mwanzo na Muziki

Akiwa na umri mdogo Xzibit alifundishwa namna ya kuandika na mama yake mzazi Trena ambaye baadae alifariki wakati Xzibit akiwa na umri wa miaka tisa.

Baadae baba yake Xzibiti akaowa mke mwingine baada ya kifo cha mke wa kwanza amabye ni mama yake mzazi Xzibit na familia kuamia mjini Albuquerque, New Mexico ambako Xzibit alikotumia ujana wake wote huko.

Alivyofika umri wa miaka 13 Xzibit akaanza kusikiliza nyimbo za Rap na kujaribu kuandika baadhi ya Mashairi, ambapo hakufika mbali kutoka na baba yake na mama yake wa kambo walikuwa watu wa dini sana ambao wote wawili ni "Mashaidi wa Yehova".

Kati ya miaka 14 na 17 Xzibit alitumia mda wake akiwa mitaani huko alikuwa anaaishi Albuquerque, na kupata matatizo mengi tu, Kuanzia hapo akawa mtu wa matatizo tu hadi baadae akafukuzwa shule, ambayo ilioko huko mjini Albuquerque.

                                     

2. Kupata Umaarufu

Xzibit alikuwa kama mwanachama flani hivi wa kundi la "the Likwit Crew", Pia hao ni moja kati ya wanachama wa "West Coast rappers", akiwemo Tha Alkaholiks na King T.

Baada kupata ushirika wa kushiriki katika matamasha mbali na hao jamaa hiyo ilikuwa 1995, na baadae kumpeleka studio iliyokuwa inaitwa Loud Records na kuweza kutoa albamu ya kwanza ilioitwa "At the Speed of Life" ambayo yenyewe ilkuwa ni albamu ya msanii mchanga anayefanya vizuri katika masuala ya muziki, hiyo ilikuwa mwaka 1996.

Mwaka 1998 Xzibiti alitoa albamu nyingine iliyoitwa "40 Days & 40 Night", Ambayo yenyewe ilileta mwamko fulani na watu wengi walikubali kuwa Albamu ya pili ni nzuri kuliko iliyopita, na akawa unaongoza kikosi cha watu wenye vipaji cha West Coasts licha ya kuwa wengi walikuwa waki sema kuwa jamaa hato pata mafanikio.

                                     

3. Filamu Alizoshiriki

 • 1997: Rhyme & Reason - Kama Xzibit
 • 2004: Def jam Fight for NYvideo game - Kama Xzibit
 • 2005: Derailed - Kama Dexter
 • 2002: G-TV
 • 2000: Tha Eastsidaz
 • 2000: Up In Smoke Tour
 • 2002: 8 Mile - Kama "Mike" The lunch truck rapper
 • 2002: The Country Bears - Kama Xzibit
 • 2001: The Wash - Kama Wayne,
 • 2005: XXX: State of the Union - Kama Zeke
 • 2006: Gridiron Gang - Kama Malcolm Moore
 • 2004: Strong Arm Steady
 • 2004: Full Clip - Kama Duncan
 • 2006: Hoodwinked - Kama Sauti ya Chief Grizzly
                                     
 • filamu kutoka Marekani 1969 - Cappadonna, mwanamuziki kutoka Marekani 1974 - Xzibit mwanamuziki wa Marekani 1979 - 2Face Idibia, mwimbaji wa Nigeria 1663
 • Agosti - Natasha Henstridge, mwigizaji filamu kutoka Kanada 18 Septemba - Xzibit mwanamuziki wa Marekani 12 Novemba - Ralf Krewinkel, mwanasiasa kutoka
 • Imetayarishwa na DJ Scratch U Can t Fuck With Me akimshirikisha Snoop Dogg, Xzibit na Jayo Felony Imetayarishwa na DJ Scratch Queens Is akimshirikisha
 • Mwongozaji: Hype Williams Mhariri : Harvey White Waliouza sura - Eminem, Warren G, The D.O.C., Xzibit DJ Jam Music video for Still D.R.E. katika YouTube
 • kadha kutoka kwa marapa wengine kama vile Hittman, Snoop Dogg, Kurupt, Xzibit Nate Dogg, na Eminem. 2001 inadhihirisha upanuzi katika kuandaa midundo
 • na A Prince Among Thieves, ambamo ndani yake kulikuwa na Big Daddy Kane, Xzibit Kool Keith na Everlast. Yeye, akiwana Frukwan wa Stetsasonic, Too Poetic
 • Dogg, N.W.A, 2Pac, Eminem, 50 Cent, The Game, Shade Sheist, Busta Rhymes, Xzibit Royce Da 5 9 Jay - Z, Nas, Blackstreet, Stat Quo, Bishop Lamont, MC Ren