ⓘ A.Y. (mwanamuziki)

                                     

ⓘ A.Y. (mwanamuziki)

Ambwene Alen Yesaya ni mwanamuziki wa muziki aina ya Komesho, Rap na Hip Hop, mwigizaji na pia mwanamitindo kutoka nchini Tanzania.

AY ametoa nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania, kama vile Raha tu 1-2, Raha Kamili, Machoni kama watu, Binadamu n.k.

AY ambaye anafahamika sana nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi hadi Kusini mwa Afrika. vile alikuwa mwanakikundi wa East Coast Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye maarufu kama King Crazy GK, na mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es Salaam.

Pia Ambwene Allen Yesaya aliwashikirisha ndugu wawili kutoka Nigeria wanaounda kundi la P-SQUARE.

                                     

1. Viungo vya Nje

 • Tovuti Rasmi ya AY Archived Aprili 20, 2008 at the Wayback Machine.
 • AY katika Music in Africa blogu
 • Habari za AY katika tovuti ya Swahili Remix
 • Maelezo mengine kuhusu AY
                                     
 • sales: AFP El Universo: Agence France - Presse AFP Madonna regresa a los 80 y a sus raíces dance El Universo, November 14, 2005. Retrieved on February
 • amezaliwa 1970 ni mtayarishaji wa muziki kutoka Kenya. Alianza kama mwanamuziki kwanza kwa muda mfupi akiwa na kundi Ebony Affair kabla ya kutengeneza
 • Talking Book ni jina la albamu ya mwanamuziki Stevie Wonder, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Oktoba katika mwaka wa 1972. You Are the Sunshine of My
 • I 3: 41 This Is a Recording 4 Living in a Fulltime Era L.I.F.E. 3: 16 I Can Do Anything Delacratic Outro 0: 40 D. A I.S. Y Age 3: 58 Plug
 • Mandojo na Domo Kaya, Mr. Blue, Complex, Dudu Baya, Juma Nature na FSG, A.Y G.K., Q Chillah, MwanaFA, Lady Jay Dee na Ray C.. Jay Dee ndiye msanii
 • mwa waliosifia ni pamoja na msanii wa muziki wa hip hop nchini Tanzania A.Y Hii ndio filamu ya kwanza Tanzania kuleta mapinduzi halisi ya uigizaji wa
 • Lisa Stansfield Devaney Morris Stansfield It s Gonna Be A Lovely Day - The S.O.U.L. S. Y S.T.E.M. Clivillés Cole Never Scarborough Visage Withers
 • platino y oro 1999 Spanish Unidad Editorial. Jalada kutoka ya awali juu ya 12 March 2005. Iliwekwa mnamo 7 July 2014. Vendrá Shakira a México a promover
 • Y Y Bailes, E., Takehisa, J., Santiago, M. L., Bibollet - Ruche, F., Chen, Y Wain, L. V., Liegois, F., Loul, S., Mpoudi Ngole, E., Bienvenue, Y
 • Hakuna Noma 7 Jose Chameleone. Ndivyo Sivyo - Kutoka Uganda 8 Adil a k. a Hisabati. Tunawakilisha na Rapper Msaidizi kwenye Ziara - Kutoka Tanzania
 • Recordandeo a Chile Una Chilena en París 1965 Carpa de la Reina 1966 Las últimas composiciones de Violeta Parra 1967 Violeta Parra y sus canciones
 • Y Y Bailes, E., Takehisa, J., Santiago, M. L., Bibollet - Ruche, F., Chen, Y Wain, L. V., Liegois, F., Loul, S., Mpoudi Ngole, E., Bienvenue, Y