ⓘ Bruce Willis

                                     

ⓘ Bruce Willis

Walter Bruce Willis ni mwgizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kuanzia maiaka ya 1980 hivi, na akabaki kuwa kama mwigizaji kiongozi pia mwigizaji msaidizi katika baadhi ya filamu zilizo kuwa zinaigizwa huko Hollywood.

Willis heshima ilikuja kuwa kubwa pale alipoigiza filamu ya Die Hard mnamo mwaka 1988, na kutumia jina la John McClane. Willis amemuoa mwgizaji filamu mwenzake bi.Demi Moore na wana watoto watatu kabla ya kutarikiana mnamo mwaka wa 2000, hiyo ilikuwa baada ya miaka kumi na tatu ya ndoa.

Willis amepokea tuzo nyingi na kupewa heshima tofauti na kazi yake, kwa kudhihirisha na kutoa baadhi msaada wake katika kikosi cha jeshi la Marekani, kujihusisha pia na maswala ya kisiasa.

                                     

1. Albamu alizotoa

  • Return of Bruno, 1987, Razor & Tie, OCLC 16657516
  • Classic Bruce Willis: The Universal Masters Collection, 2001, Polygram Intl, OCLC 71124889.
  • If It Dont Kill You, It Just Makes You Stronger, 1989, Motown / Pgd, OCLC 21322754.
                                     

2. Viungo vya Nje

  • BruceWillis.com Way Back Machine Official website - shutdown since Thanksgiving 2005. Link refers to the cached homepages of the site at Archive.org.
  • Bruce Willis at the Internet Movie Database
  • BruceWillisPL.com - Bruce Willis photo gallery, active forum, and news
                                     
  • 1949 - Valery Leontiev, mwanamuziki na mwimbaji kutoka Urusi 1955 - Bruce Willis mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1289 - Mwenye heri Yohane wa Parma
  • Freddy Moore na ni mama wa watoto watatu kutoka katika ndoa yake na Bruce Willis Baada ya kuolewa na mwigizaji Ashton Kutcher mwaka 2005 alibadili jina
  • kuzungumza na wafu, na ni kitendo sawa na kile cha mwanasaikolijia wa watoto Bruce Willis anayejaribu kumsaidia kijana huyo. Filamu ilitangazwa Shyamalan akiwa
  • Tanzania 12 Machi - Gaspard Musabyimana, mwandishi wa Rwanda 19 Machi - Bruce Willis mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 13 Aprili - Ronald Muwenda Mutebi