ⓘ Stevie Wonder

                                     

ⓘ Stevie Wonder

Stevie Wonder. Jina lake halisi ni Steveland Hardaway Judkins lakini alibadili jina lake la mwisho na kuliweka jina la ndoa la mamake, Morris.

Ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za binaadam wa Kimarekani. Amekuwa kipofu tangu kuzaliwa kwake. Wonder amekuwa miongoni mwa wasanii waliowakubwa na wenye mafanikio-kujulikana katika studio ya kurekodia ya Motown.

Amerekodi zaidi ya albamu 23 na kutoa vibao vingi vilivyo maarufu kabisa. Alitunga na kuzirekodi mwenye baadhi ya nyimbo zake na za watu wengine vilevile. Wonder vilevile ni mpigaji wa ngoma, gitaa, sinthesaiza, congas, na pia almaarufu kwa kupiga kinanda na harmonica.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Kihispania Fan-website
 • Kiingereza Official website
 • Kiingereza Stevie Wonder at The Songwriters Hall of Fame website Archived Oktoba 1, 2006 at the Wayback Machine.
                                     
 • ya mwanamuziki Stevie Wonder ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Oktoba katika mwaka wa 1972. You Are the Sunshine of My Life Wonder - 2: 58 Maybe Your
 • unyanyasaji wa kijinsia. Upatano wa wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa Stevie Wonder That Girl Wimbo ulichukua nafasi ya 6 nchini Marekani kupitia chati
 • Verdi Yarian 3: 39 Shoo - Be - Doo - Be - Doo - Da - Day Cosby Moy Wonder yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder 3: 21 You Can Cry on My Shoulder Gordy yenyewe
 • nyimbo zifuatazo U Know What s Up Where I Wanna Be na bima yake ya Stevie Wonder Knocks Me Off My Feet Malezi ya Jones ilikuwa ngumu. Aliteseka sana
 • It s a Shame uliotungwa kwa ajili ya bendi hiyo ambao ulitungwa na Stevie Wonder na ulipata mafanikio kadha wa kadha, hasa nchini Switzerland ambapo
 • With a Child s Heart Basemore Cosby Moy yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder 3: 29 Up Again Perren Yarian 2: 50 All the Things You Are
 • Ronald Ross, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902 1950 - Stevie Wonder mwanamuziki wa Marekani 1972 - Giovanni Tedesco, mchezaji mpira wa
 • na ugonjwa sugu. Alisema kuwa huo ndio ulikuwa wakati aliongozwa na Stevie Wonder Albamu yake ya kwanza iliitwa Sa Danse Donne, na ilitolewa 2002 - 2003
 • nafasi ya kwanza ya vibao vikali Hot R&B: 1. Aretha Franklin - 20 2. Stevie Wonder - 19 3. Louis Jordan - 18 4. James Brown - 17 5. Janet Jackson - 16
 • 4: 20 Terri & Monica Never Dreamed You d Leave in Summer - 2: 55 Stevie Wonder Justice s Groove - 4: 35 Stanley Clarke Kibao maalumu chenye asili
 • Starkey Tiny Tim - Herbert Khaury Peter Tork - Peter Halsten Thorkelson Peter Tosh - Winston McIntosh Stevie Wonder - Steveland Hardaway Judkins Morris
 • Reasonable Doubt Ronald Reagan Serena Williams Snoop Dogg The Source gazeti Stevie Wonder Nigga Wit An Attitude Vol. 1 Venus Williams Vibe gazeti Vivica A. Fox