ⓘ DJ Yella

                                     

ⓘ DJ Yella

DJ Yella ni jina la kisanii la Antoine Carraby ni DJ, mtayarishaji wa mzuiki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton, California, Marekani. Yella pia alikuwa mmoja wa wanachama wa kundi la muziki linalojulikana kama World Class Wreckin Cru akiwa pamoja na Bw. Dr. Dre. Baadaye akaja kuwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop maarufu kama N.W.A. Akiwa pamoja na Dre Yella akafanikisha kurekodiwa kwa albamu ya mwenziwao. Albamu ilikwenda kwa jina la Eazy Duz It.

                                     

1. Albamu alizotoa

Akiwa na World Class Wreckin Cru

Before You Turn off The Lights Mission Possible / Hes Bionic

Albamu alizotoa akiwa na kundi la World Class Wreckin Cru

 • Rapped In Romance 1986
 • Lay Your Body Down 1988
 • Surgery 1984
 • Bust It Up 2 + 1 1985
 • Mission Possible/World Class Freak 1986
 • House Fly 1990
 • The Best Of The World Class Wreckin Cru 1987
 • Phases In Life 1990
 • Mission Possible 7" 1986
 • The Fly 1986
 • Love Letter 1986
 • Juice 1985
 • World Class 1985
 • Hes Bionic/The Fly 1986
 • Turn Off The Lights 1987
 • World Class Mega Mix 89 1989
                                     

2. Viungo vya nje

 • DubCNN.com interview with Yella
 • Davey D interviews Yella
 • DJ Yellas official site Ilani: Tovuti hii kuna picha za kikubwa
 • Yella speaks out on the rise and fall of hardcore Archived Juni 9, 2009 at the Wayback Machine.
                                     
 • mghani, mwandishi muswaada andishi, mwigizaji na mwongozaji wa filamu. DJ Yella ni DJ mtayarishaji wa mzuiki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton
 • CD kwa Marekani pekee. Kundi linaunganishwa na mtu kama Arabian Prince, DJ Yella Dr. Dre, Eazy - E, Ice Cube, na MC Ren Arabian Prince amejitupa katika
 • Italia 1963 - Mario Been, kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi 1967 - DJ Yella mwanamuziki wa Marekani 1973 - Mos Def, mwanamuziki wa Marekani 1981