ⓘ Kelvin Yondan

                                     

ⓘ Kelvin Yondan

Kelvin Yondan ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Anacheza nafasi ya beki wa kati. Pia anamudu nafasi ya kiungo.

Anachezea klabu ya Yanga Sc nchini Tanzania. Pia anachezea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Yondani ni mmoja kati ya wakongwe wakidumu ndani ya ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa miaka mingi akiwa katika ubora.

                                     

1. Aina ya uchezaji

Ni mmoja kati ya mabeki bora Afrika Mashariki, kwa zaidi ya miaka kumi sasa anaunda ukuta imara wa Wanajangwani Yanga. Anakaba kwa nguvu mipira ya juu na chini na undava wa hali ya juu. Anafahamika kwa tackling kali na kuanzisha mashambulizi tokea nyuma.

                                     
  • Tanzania 1962 - Ruth Blasio Msafiri, mwanasiasa wa Tanzania 1984 - Kelvin Yondan mcheza mpira wa Tanzania 1305 - Kameyama, mfalme mkuu wa Japani 1259 - 1274
  • Sherone Simpson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika 4 Oktoba - Kelvin Yondan mcheza mpira wa Tanzania 28 Novemba - Trey Songz, mwanamuziki kutoka
  • na kuisogeza mbele kwa urahisi zaidi, mfano wa pea hizo ni pamoja na Kelvin Yondan John Terry na Ricardo Carvalho walipokua klabu ya Chelsea, Sergio Ramos