ⓘ Yusuph Mlela

                                     

ⓘ Yusuph Mlela

Yusuph Godfrey Mlela ni mwigizaji wa filamu, mtunzi wa filamu na mwanamitindo kutoka nchini Tanzania. Mlela ni miongoni mwa waigizaji waliokuwa wachanga na kuja juu haraka sana. Filamu yake kwanza ilikuwa "Diversion of Love", Family Curse, I Know You, Shaymaa, Nesi Selena, Samira, Chumo na Poor Minds.

                                     

1. Kazi na maisha

Mlela alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Kumbukumbu ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, halafu akajiunga na sekondari ya Kawawa iliyoko Mafinga mkoa wa Iringa, akiwa huko alisoma hadi kidato cha nne. Baadaye akaja kujiendeleza na masuala ya Kompyuta. Kikundi chake cha kwanza kujiunga kuhusu sanaa kinaitwa Tanganyika, kabla ya kwenda kujishuhulisha na masuala ya mitindo.

                                     

2. Baadhi ya filamu zake

 • Nesi Selena
 • April Fools
 • Samira
 • Red Cross
 • Rubi
 • The Avenger
 • Miracle Love
 • Angel
 • Continuos Love
 • Black Sunday
 • Secretary
 • Nifute Machozi
 • Shaymaa
 • Red Mzula
 • Poor Minds
 • Why Did I Love
 • Talaka Yangu
 • War Against Men
 • Lost
 • Pete ya Ajabu
 • Lonely Heart
 • Round
 • Payback
 • Divorce
 • Diversion of Love
 • Happy Couples
 • Toughlife
 • Family Curse
 • Time Goes Around
 • Its Too Late
 • Best Man
 • Hit Back
 • Promoter
 • Chumo
 • I Know You
 • Love is War
 • Mtumwa
 • Last Minutes
 • Chocolate
 • The Taxi Driver in Love
 • Sound of Death
 • Money Desire
 • The Identical
 • War Against Women
 • The Romantic
                                     
 • iliyotoka mwaka 2006 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Lucy Komba, Yusuph Mlela Irene Uwoya, Wasiwasi Mwabulambo, Ahmedi Olotu na Denis Ngakongwa. Filamu
 • Hussein Mkiety Juma Jokate Mwegelo Amina Jafari Makati Ali Yusuph Mlela Yustus Filamu imetayarishwa na Tanzania na kufadhiliwa na JHU - CCP
 • Steven 2010 Payback akiwa na Yvonne Cherryl, Yusuph Mlela 2010 Black Sunday akiwa na Yvonne Cherryl, Yusuph Mlela Hemed Suleiman 2010 Young Billionare akiwa
 • Ferdinand Komba Yussuf Haji Khamis Yussuf Kaiza Makame Yussuf Salim Hussein Yusuph Mlela Yvonne Cherrie Zainab Amir Gama Zainab Athman Katimba Zainabu Mussa Bakar