ⓘ Umri

Umri wa kati

Umri wa Kati ni kipindi cha maisha baada ya ujana lakini kabla ya uzee. Majaribio mbalimbali yamefanywa kufafanua umri huu, ambao uko katika robo ya tatu ya wastani cha kuishi kwa binadamu.

Ujana

Ujana ni kipindi cha maisha kati ya utoto na utu uzima. Unaelezwa kama kipindi cha ustawi wa mwili na wa nafsi tangu mwanzo wa ubalehe kwa ukomavu hadi mwanzoni mwa utu uzima.

Mtoto

Mtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo, asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambapo mtu si mtoto tena. Mara nyingi miaka kabla ya kubalehe inatazamiwa kuwa kipindi cha utoto na baadaye mtu anaitwa kijana.

Shule

Shule ni taasisi inayoongozwa na mfumo maalumu ambayo watu hufunzwa habari za elimu. Pia ni jina la majengo yake. Leo hii katika nchi nyingi watoto na vijana wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye. Mambo hayo ni masomo. Kila somo lina fahamu zake tofauti katika kufundisha. Kwa mfano: kuandika, kusoma, na kuhesabu namba hisabati. Shule ni mahali ambapo watu hujifunza mambo mengi ambayo huwasaidia katika kuyakabili maisha hata kupata elimu juu ya jambo fulani. Elimu hiyo ndiyo itakayomsaidia kutatua jambo hilo. Watu wengi husema kwamba ...

Mzee

Mzee ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa. Katika jamii za Kiafrika, sawa na jamii nyingi duniani, neno "mzee" linatumiwa pia kama cheo cha heshima kwa kumtaja mtu mwenye mamlaka fulani. Hapo kuna hoja ya kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na maarifa pia, kwa hiyo anafaa kutawala au kufanya maazimio au angalau kutoa ushauri.

Msichana

Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu. Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama wasichana wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani. Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k. ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya wanawake kamili. Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na hedhi.

Mwanafunzi

Mwanafunzi ni mtu anayehudhuria taasisi ya elimu. Kwa maana pana zaidi ya neno, mwanafunzi ni mtu yeyote anayejitahidi kujifunza au kukua kwa uzoefu wa mada fulani, ikiwa ni pamoja na watu wazima wa kazi ambao wanachukua elimu ya ufundi au kurudi chuoni. Nchini Uingereza wale wanaohudhuria chuo kikuu huitwa "wanafunzi". Nchini Marekani, na hivi karibuni pia Uingereza, neno "mwanafunzi" linatumika kwa makundi mawili: shule na wanafunzi wa chuo kikuu. Ukizungumzia juu ya kujifunza nje ya taasisi, "mwanafunzi" pia hutumiwa kutaja mtu anayejifunza kwa mtu fulani akiwa mfuasi wake.

Utoto wa Yesu

Utoto wa Yesu unamaanisha maisha ya Yesu tangu azaliwe hadi alipokuwa na umri wa miaka 12, kwa sababu Wayahudi walihesabu miaka 13 kuwa mwanzo wa wajibu wa kushika Torati yote.

African Beauty

"African Beauty" ni jina la wimbo uliotoka tarehe 15 Machi, 2018 kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Diamond Platnumz akiwa na Omarion kutoka nchini Marekani. Wimbo unatoka katika albamu ya A Boy From Tandale na wa tisa kutolewa kama single kutoka katika albamu hiyo halkadhalika wa kwanza kutolewa baada ya albamu kutoka. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic kupitia studio za Wasafi Records wakati biti limetengenezwa na Krizbeatz. Sifa pekee ya wimbo huu ndio wa kwanza kwa Chibu kutumia tangazo la kuratibu umri wa mtazamaji katika Youtube. Hii inatokana na ...

Watoto wa mitaani

Watoto wa mitaani ni watoto ambao wamekosa makazi bora, malazi na mavazi kutoka kwa wazazi au walezi wao. Jambo hilo limesababisha kutokuwa na mahali maalumu pa kuishi. Idadi yao duniani hukadiriwa kuwa milioni mia moja hivi.

                                     

ⓘ Umri

  • Umri ni hesabu ya miaka iliyopita tangu kiumbehai alipoanza kuwepo. Kwa binadamu ni kawaida kuihesabu tangu azaliwe, si tangu atungwe mimba. Ukuaji halafu
  • Umri wa Kati pia: makamo ni kipindi cha maisha baada ya ujana lakini kabla ya uzee. Majaribio mbalimbali yamefanywa kufafanua umri huu, ambao uko katika
  • Ufafanuzi wa umri maalumu wa ujana hutofautiana. Ukomavu wa mtu binafsi huenda unakosa kuwa sawa na umri wao, kwani watu wasiokomaa hupatikana kwa umri wowote
  • Mtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo, asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambapo mtu si mtoto tena. Mara nyingi
  • ngazi kufuatana na umri wa wanafunzi: Shule ya chekechea au vidudu au watoto wadogo chini ya umri wa miaka 6 Shule ya msingi kuanzia umri wa miaka 6 kwa muda
  • vidudu cheke - chea hutolewa kwa wanafunzi wenye umri kati ya miaka 5 6 miaka 2 lakini hii watoto sehemu kubwa wanaanza wakiwa na umri wa miaka 3, ili kuwa na mazoea
  • wana mwili wa kitoto. Hawawezi kukomaa hadi wanapofikia umri wa balehe huenda ikawa kunako umri wa miaka 12 hadi 14 hapo ndipo miili yao inaanza kukomaa
  • mtu mwenye mamlaka fulani. Hapo kuna hoja ya kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na maarifa pia, kwa hiyo anafaa kutawala au kufanya
  • bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe huenda wakafikia umri wa miaka 11 - 13 n.k. ambapo miili yao inaanza kukomaa na
  • wa jinsia ya kike tu. Jina hilo laweza kutumika kuanzia kwa mtoto mwenye umri mdogo hadi mkubwa, bali hutumika pia kuonyesha heshima kwa mwanamke mkubwa
                                     

Umri

Umri ni hesabu ya miaka iliyopita tangu kiumbehai alipoanza kuwepo. Kwa binadamu ni kawaida kuihesabu tangu azaliwe, si tangu atungwe mimba. Ukuaji halafu uzeekaji wa kiumbehai unaendelea moja kwa moja, lakini wataalamu wanatofautisha hatua muhimu kama vile: utoto, ubalehe, ujana, utu uzima, uzee, ukongwe. Kila hatua ina sifa zake na matatizo yake maalumu.

                                     

Mvulana

Mvulana ni mwanaume bado mdogo au kijana wa kiume. Wavulana wadogo bado wana mwili wa kitoto. Hawawezi kukomaa hadi wanapofikia umri wa balehe hapo ndipo miili yao inaanza kukomaa na kuwa mwanamume. Kinyume chake cha mvulana ni msichana. Msichana ni mtoto wa kike ambaye atakua na kufikia uwanamke. Jinsi wavulana wanavyokuzwa kwa namna nyingi na tamaduni tofautitofauti. Wavulana wanatakiwa wawe thabiti kuliko wasichana.

                                     

Papa Agatho

Papa Agatho alikuwa Papa kuanzia tarehe 27 Juni 678 hadi kifo chake tarehe 10 Januari 681. Inasemekana kwamba alikuwa na umri wa zaidi ya miaka mia moja alipochaguliwa kuwa Papa. Alitokea Sisilia. Alimfuata Papa Donus akafuatwa na Papa Leo II. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Kanisa Katoliki linaadhimisha sikukuu yake tarehe 10 Januari, lakini Waorthodoksi tarehe 20 Februari.