ⓘ Usafiri

Usafiri

Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine. Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.

Chombo cha usafiri

Chombo cha usafiri ni kifaa chochote kinachotumiwa kusafirisha watu au mizigo. Vyombo vya usafiri hutofautiana kama vinahudumia usafiri wa nchi kavu, wa majini au wa hewani. Mifano ni Usafiri wa nchi kati hutumia motokaa, treni, baisikeli au pikipiki Usafiri wa majini hutumia meli, boti, jahazi na mengine Usafiri wa hewani hutumia ndege, helikopta au ndegeputo Hutofautishwa pia kama vinalenga matumizi ya watu binafsi au matumizi ya umma. Baisikeli, pikipiki na motokaa mara nyingi hutumiwa na wenye chombo hiki cha usafiri. Lakini zinaweza kutumiwa pia kama sehemu ya usafiri wa umma kwa mfan ...

Usafiri nchini Tanzania

Usafiri nchini Tanzania ni hasa kwa njia ya barabara. Nyingine ni reli na ndege. Kwenye maziwa makubwa na pwani ya Bahari Hindi kuna pia usafiri wa meli.

Usafiri wa anga-nje

Usafiri wa anga-nje ni kila aina za safari au usafiri inayofikia nje za angahewa ya Dunia kwenye anga-nje. Ilhali hakuna mpaka kamili baina ya angahewa na anga-nje kuna mapatano ya kutazama umbali wa kilomita 100 kama chanzo cha anga-nje Chombo cha kwanza kilichofikia juu ya km 100 kilikuwa roketi ya Kijerumani aina ya V-2 katika majaribio ya mwaka 1944. Chanzo cha usafiri wa anga-nje kilikuwa kuruka kwa chombo cha angani cha Kisovyieti Sputnik 1 mnamo 4 Oktoba 1957 iliyokuwa satelaiti ya kwanza iliyozunguka Dunia angani. Kiumbehai wa kwanza aliyefikishwa hadi anga-nje alikuwa mbwa Laika k ...

Ushirika wa Usafiri wa Hamburg HVV

Ushirika wa Usafiri wa Hamburg ni kampuni ya umma inayoendesha usafiri wa umma katika jiji la Hamburg na maeneo ya karibu katika majimbo ya Niedersachsen na Schleswig-Holstein.

ESA

ESA ni kifupi cha Kiingereza cha European Space Agency ". Taasisi hiyo ilianzishwa mwaka 1975 na nchi 10 za Umoja wa Ulaya. Wajibu wake ni kuratibu miradi ya nchi za Ulaya ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. Shabaha ni hasa kuendeleza juhudi za nchi za Ulaya katika teknolojia ya angani iliyokuwa nyuma sana kulingana na kazi za Marekani na Urusi wakati ule. Mwaka 2014 kulikuwa na nchi wanachama 20, na kati ya hizo kuna nchi 18 wanachama wa Umoja wa Ulaya pamoja na Uswisi na Norwei. Kufuatana na katiba yake, ESA inalenga shabaha zisizo za kijeshi pekee. ESA inashirikiana kwa karibu na ...

                                     

ⓘ Usafiri

 • Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine. Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri vyombo
 • Chombo cha usafiri ni kifaa chochote kinachotumiwa kusafirisha watu au mizigo. Vyombo vya usafiri hutofautiana kama vinahudumia usafiri wa nchi kavu, wa
 • Usafiri nchini Tanzania ni hasa kwa njia ya barabara. Nyingine ni reli na ndege. Kwenye maziwa makubwa na pwani ya Bahari Hindi kuna pia usafiri wa meli
 • Usafiri wa anga - nje ni kila aina za safari au usafiri inayofikia nje za angahewa ya Dunia kwenye anga - nje. Ilhali hakuna mpaka kamili baina ya angahewa
 • Kimataifa la Usafiri wa Anga kwa Kiingereza: International Air Transport Association - IATA ni umoja wa kimataifa wa kampuni za usafiri kwa ndege. Makao
 • Elimu ya Usafiri Angani Far.: École nationale de l aviation civile ENAC ni chuo kikuu cha Ufaransa kinachofundisha fani zote za usafiri wa angani
 • vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi
 • Ushirika wa Usafiri wa Hamburg kwa Kijerumani Hamburger Verkehrsverbund kifupi: HVV ni kampuni ya umma inayoendesha usafiri wa umma katika jiji la Hamburg
 • ESA ni kifupi cha Kiingereza cha European Space Agency Mamlaka ya Usafiri wa Anga Ulaya Taasisi hiyo ilianzishwa mwaka 1975 na nchi 10 za Umoja wa
 • kiasi. Safari inaweza kufanywa ama kwa miguu au kwa chombo cha safari au usafiri fulani. Kama safari inazidi muda wa siku mmoja vituo vya safari yaani mahali
 • muhimu cha usafiri Zamani baisikeli ilikuwa usafiri wa maskini lakini pia katika nchi kadhaa zilizoendelea watu hutumia baisikeli ama kwa usafiri wa mjini
                                     

Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani

Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani ni chuo kikuu cha Ufaransa kinachofundisha fani zote za usafiri wa angani kama vile urubani, uhandisi wa eropleni au usimamizi wa mwendo wa eropleni hewani. Chuo hiki kilianzishwa mwaka 1949 mjini Orly karibu na Paris lakini tangu 1968 kilihamishwa kwenda Toulouse ambako kuna pia viwanda vikubwa vya eropleni hasa vya Airbus na kampuni ya usafiri wa anga-nje EADS.

                                     

Abiria

Abiria ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni. Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi. Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.

                                     

Ndege

Ndege ni neno ambalo kwa Kiswahili linaweza kumaanisha: Ndege mnyama ni aina wa wanyama ambao kwa kawaida wanaweza kuruka. Ndege uanahewa au eropleni ni chombo cha usafiri kinachoweza kuruka wakati kikiwa na abiria au mizigo ndani yake.

                                     

Barabara ya mchipuko

Barabara ya mchipuko ni njia ambayo hutumika pale ambapo kunakuwa na matengenezo ya barabara ambapo mchipuko husaidia kupunguza msongamano wa magari hasa katika miji mikubwa. Barabara hizi husaidia pia kurahisisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.