ⓘ Habari

Kupashwa habari

Kupashwa habari kwa Bikira Maria kwamba atapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na hatimaye kuzaa mtoto wa kiume, jina lake Yesu, ni tukio la kuheshimika sana kati ya Wakristo na Waislamu kutokana na masimulizi ya Injili na Kurani.

Teknolojia ya habari

Teknolojia ya habari na mawasiliano, kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya Habari ya Marekani, ni "utafiti, urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa mifumo ya habari, hasa ala za programu na vifaa vya kompyuta.". TEHAMA inahusika na matumizi ya kompyuta na programu za kompyuta: kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza na usalama katika kupokea habari. Leo, neno habari limezunguka nyanja nyingi za kompyuta na teknolojia na limekuwa maarufu sana. Wataalamu wa TEHAMA hutekeleza majukumu mbalimbali kutoka kuweka ala hadi kubuni mitandao tata ya kompyuta ...

Mwanahabari

Mwanahabari ni mtu anayefanya kazi ya uandishi wa habari akikusanya, kutayarisha na kusambaza habari. Anaweza kufanya kazi hiyo akiwa ameajiriwa na gazeti, redio au kituo cha televisheni au kama mkandarasi wa kujitegemea akiuza kazi yake kama makala, picha au filamu. Wanahabari huajiriwa pia na makampuni, taasisi au ofisi za serikali zinazolenga kueleza kazi yao katika jamii. Akiwa mwandishi wa habari wa gazeti huandika nakala za habari na hadithi kwa magazeti. Katika maandalizi ya makala ataongea na watu, kufuatilia habari kwa jumla, kufanya utafiti na mahojiano na watu wanaohusika katika ...

Uandishi wa habari

Uandishi wa habari ni kazi ya kukusanya, kupanga na kusambaza habari kwa wasomaji, wasikilizaji na watazamaji katika jamii. Usambazaji hutokea kupitia vyombo vya habari na media mbalimbali kama vile gazeti, redio, televisheni na intaneti. Katika jamii ya kisasa media ni njia kuu ya kushirikisha watu wengi na mambo yote yanayoathiri umma, jamii, siasa, uchumi na utamaduni wake. Penye mfumo wa kisiasa ya demokrasia upatikanaji wa habari huru, nyingi na tofauti ni muhimu sana kwa uwiano sawa kati ya washiriki katika siasa, uchumi na utamaduni. Kutokana na nafasi hii muhimu uandishi wa habari ...

Habari uongo

Habari uongo ni aina ya habari au taarifa za upotoshwaji ambazo hufanyika kwa makusudi kwenye mitandao wa kijamii au katika magazeti.

Habari Leo

Habari Leo ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Tanzania. Gazeti hili ni mali ya kampuni ya hisa ya Tanzania Standard Newspapers Limited.

                                     

ⓘ Habari

  • Habari kutoka Kiarabu ni mawasiliano ya maarifa kuhusu matukio ambayo huwasilishwa kwa watu kwa maneno ya kinywa, kwa maandishi kama vile magazeti, kwa
  • Kupashwa habari kwa Bikira Maria kwamba atapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na hatimaye kuzaa mtoto wa kiume, jina lake Yesu, ni tukio la kuheshimika
  • habari na mawasiliano kifupi: TEHAMA kwa Kiingereza: information technology, kifupi: IT kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya Habari ya
  • Vyombo vya habari ni vyombo vya mawasiliano vinavyolenga watu wengi iwezekanavyo kwa shabaha ya kuwapatia habari au burudani. Mifano yake ni magazeti
  • Mwanahabari ni mtu anayefanya kazi ya uandishi wa habari akikusanya, kutayarisha na kusambaza habari Anaweza kufanya kazi hiyo akiwa ameajiriwa na gazeti
  • Uandishi wa habari kwa Kiingereza journalism ni kazi ya kukusanya, kupanga na kusambaza habari kwa wasomaji, wasikilizaji na watazamaji katika jamii
  • Wizara ya Habari Utamudini na Michezo Kiingereza: Ministry of Information, Culture and Sports kifupi HUM ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi
  • Habari uongo kwa Kiingereza: fake news, junk news, pseudo - news au hoax news ni aina ya habari au taarifa za upotoshwaji ambazo hufanyika kwa makusudi
  • pre Habari Leo ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa
  • Shirikisho la vyombo vya habari inaelezea makampuni yanayomiliki idadi kubwa ya makampuni katika nyanja mbalimbali za vyombo vya habari kama vile televisheni
                                     

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

                                     

Shirikisho la vyombo vya habari

Shirikisho la vyombo vya habari inaelezea makampuni yanayomiliki idadi kubwa ya makampuni katika nyanja mbalimbali za vyombo vya habari kama vile televisheni, redio, uchapishaji, filamu, na hata Intaneti. Pia hutajwa kama asasi ya vyombo vya habari au kundi la vyombo vya habari. Na kwa mwaka wa 2008, The Walt Disney Company imekuwa moja kati ya shirikisho la vyombo vya habari lililo kubwa zaidi duniani, ikiwa ni pamoja na News Corporation, Viacom na Time Warner.