ⓘ Burudani

Utalii

Utalii ni kitendo cha kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudani, biashara kujifunza au makusudi mengine. Utalii huweza kukuza uchumi wa nchi fulani endapo nchi hiyo itapokea fedha za kigeni kutoka kwa watalii ambao wanatoka nchi tofauti na nchi hiyo ambayo imepokea fedha za kigeni. Shirika la Utalii Duniani huwaelezea watalii kama watu ambao "kusafiri na kukaa katika maeneo nje ya mazingira yao ya kawaida kwa zaidi ya saa ishirini na nne na si zaidi ya mwaka mmoja mfululizo kwa burudani, biashara na madhumuni mengine, si kuhusiana na zoezi la shughuli betala ...

Emmy

Emmy Award au Tuzo za/ya Emmy ni tuzo ya matayarisho ya televisheni, kiasili inaonekana kufanana na tuzo za Peabody, lakini hii inashughulika sana na masula ya burudani, na itazamika kuwa iko sawa na kile kipindi cha televisheni cha Academy Award, Grammy Award na Tony Award. Hutoa zawadi kwa ajili sekta mbalimbali ya soko la televisheni, ikiwemo na vipindi vya burudani, habari na makala ya TV, na vipindi vya michezo. Kwa maana hiyo, zawadi hutolewa katika kila baadhi ya maeneo ambapo sherehe hizi hufanyika kila ifikapo baada ya mwaka.

Kilifi

Kilifi ni mji kwenye pwani ya Kenya uliopo kati ya Mombasa na Malindi. Iko kando ya kihori cha Kilifi kinachoishia katika Bahari Hindi. Mji ni makao makuu ya Kaunti ya Kilifi. Wakati wa sensa ya mwaka 2009 Kilifi ilikuwa na wakazi 122.899. Kilifi imekuwa kitovu kimojawapo cha utalii nchini Kenya hasa kutokana na fuko zake za kupendeza na Bofa Beach ni marufuku hasa. Mdomo mpana wa kihori unapendwa na wenye jahazi za burudani kuna jahazi nyingi zinazolala hapa. Maghofu ya kihistoria ya Mnarani yako kando la mji wa Kilifi. Mabaki yanayoonekana ni misikiti mbili pamoja na makaburi yaliyokuwa ...

Vyombo vya habari

Vyombo vya habari ni vyombo vya mawasiliano vinavyolenga watu wengi iwezekanavyo kwa shabaha ya kuwapatia habari au burudani. Mifano yake ni magazeti, redio, televisheni au intaneti.

Salha Israel

Salha Israel ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania. Alivishwa taji la Miss Tanzania mwaka 2011/2012 mara baada ya kuwabwaga wenzake 29. na kujinyakulia zawadi nono yenye thamani ya Shilingi Za Kitanzania milioni themanini kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-Salaam.

W.W.E.

W.W.E ni kampuni kubwa ya Marekani inayoandaa maonyesho ya burudani ambayo inajulikana sana kwa mieleka ya kitaalamu. Sasa ni kampuni maarufu zaidi katika biashara ya ushindani. WWE pia imejitokeza katika nyanja nyingine, pamoja na sinema, mpira wa miguu, na biashara nyingine kadhaa. Vince J. McMahon alianzisha kampuni hiyo mwaka 1963. Mwanawe, Vince K. McMahon sasa ni mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo na anaendesha kampuni pamoja na binti yake Stephanie McMahon na mumewe Paul Levesque, anayejulikana kama Triple H. Shirika hilo la vyombo vya habari vya Marekani na kampuni y ...

African Hip Hop.com

Africanhiphop.com ni moja kati ya wavuti mtandaoni inayochochea tamaduni za Kiafrika mijini. Wavuti inamilikiwa na DJ Jumanne ambaye aliizisha mwaka 1997. Awali ilitengenezwa kwa lengo la kuwaleta watu pamoja ambao kwa namna moja au nyingine wamevutiwa na utamaduni wa muziki wa hip hop na wa Afrika kwa ujumla ambao hadi leo hii upo. Africanhiphop.com inatoa taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na mahojiano, habari kemkem, DJ mix na redio za mtandaoni. Vilevile ina ukumbi wa majadiliano ambao unaunganisha watu mbalimbali duniani. Taarifa zinazopatikana katika Africanhiphop.com zinatolewa au k ...

Mwigizaji

. Mwigizaji ni mtu anayeigiza, au anapewa kijisehemu cha kuigiza katika filamu, tamthiliya, vipindi vya televisheni, mchezo, au mchezo wa redio. Muigizaji ni mtu anayeonyesha tabia fulani katika utendaji. Kuna kipindi waigizaji huimba na kucheza. Muigizaji hufanya maigizo katika ukumbi wa michezo, au katika kumbi ya kisasa kama filamu, redio na televisheni. Mwigizaji jukumu lake ni kuelimisha jamii na kuburudisha, iwe kwa misingi ya mtu halisi au tabia ya uongo. Ufafanuzi hutokea hata wakati muigizaji "anacheza mwenyewe", kama katika aina fulani za sanaa ya utendaji wa majaribio, au kwa ka ...

Toi

Toi, pia kichezeo ni kitu cha kuchezea, hasa kwa watoto. Mifano yake ni mwanasesere, mpira au gololi. Lakini si watoto pekee wanaotumia toi hutumiwa pia na watu wazima au wanyama. Kwa mfano paka hupenda kucheza kwa mpira. Katika mazingira ya kijadi watoto wanatumia vitu vinavyopatikana kiasili kama mawe na mafimbo. Halafu wanatumia udongo wa kushikana kama udongo wa mfinyazi na kufinyanga vidoli. Mahali pengi wazazi waliwatengenezea watoto toi za aina mbalimbali. Watoto walipewa pia au kujitengenezea vifaa vidogo vya kufanana na vifaa vya wtu wazima. Mifano ni pinde na mishale midogo, au s ...

                                     

ⓘ Burudani

  • Burudani kutoka neno la Kiarabu linalohusiana na baridi ni chochote kile kinachoweza kukuburudisha, hasa bada ya kazi nzito iliyokuchosha. Ni muhimu
  • kitendo cha kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudani biashara kujifunza au makusudi mengine. Utalii huweza kukuza uchumi wa
  • kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni. Ni kundi kubwa la burudani studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa
  • kwa ajili ya kujipatia chakula au kitoweo, lakini pengine kwa biashara, burudani tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu. Mbali ya uwindaji halali
  • kufanana na tuzo za Peabody, lakini hii inashughulika sana na masula ya burudani na itazamika kuwa iko sawa na kile kipindi cha televisheni cha Academy
  • vinavyolenga watu wengi iwezekanavyo kwa shabaha ya kuwapatia habari au burudani Mifano yake ni magazeti, redio, televisheni au intaneti. Nadharia moja
  • Beach ni marufuku hasa. Mdomo mpana wa kihori unapendwa na wenye jahazi za burudani kuna jahazi nyingi zinazolala hapa. Maghofu ya kihistoria ya Mnarani yako
  • mchezo ambao huchezwa kwa lengo la kupoteza mawazo, kufurahisha na kwa burudani Mchezo unachezwa kutokana na mtazamo wa mazingira ya wazi ya ulimwengu
  • Entertainment, Inc ni kampuni kubwa ya Marekani inayoandaa maonyesho ya burudani ambayo inajulikana sana kwa mieleka ya kitaalamu. Sasa ni kampuni maarufu
  • watoto wachanga na watoto. Utafiti umeonyesha kuwa ukosefu wa maeneo ya burudani husabsabisha kupungua kwa afya na ustawi. Pia anatakiwa kuwa na afya ya
                                     

Burudani

Burudani ni chochote kile kinachoweza kukuburudisha, hasa bada ya kazi nzito iliyokuchosha. Ni muhimu kujifunza utumiaji bora wa muda katika kukamilisha mafanikio yako.

                                     

Warner Bros.

Warner Bros. Entertainment, Inc. ni kampuni moja kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni. Ni kundi kubwa la burudani, studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa na Time Warner. Warner Bros. anajulikana kwa Looney Tunes. Wanao hakimiliki kwenye mfululizo wa filamu wa Harry Potter, mfululizo wa filamu ya Batman, na mfululizo wa filamu ya Superman, DC Extended Universe.

                                     

Uwindaji

Uwindaji ni desturi ya kuua au kukamata wanyama, hasa kwa ajili ya kujipatia chakula au kitoweo, lakini pengine kwa biashara, burudani tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu. Mbali ya uwindaji halali, kuna ujangili unaohatarisha aina mbalimbali za wanyama kiasi cha kuwamaliza kabisa duniani. Kama mnyama husika ni samaki, kazi hiyo inaitwa uvuvi. Kabla ya kuanza uzalishaji, kwa karne nyingi binadamu wote walitegemea hasa uchumaji wa matunda na uwindaji.

                                     

Assassins Creed Odyssey

Assassins Creed Odyssey ni mchezo ulioandaliwa na kuchapishwa na Ubisoft Company. Uliandaliwa kwa maonesho ya Play station 3, Xbox pamoja na kompyuta. Ulitolewa rasmi mnamo mwaka 2018. Ni mchezo ambao huchezwa kwa lengo la kupoteza mawazo, kufurahisha na kwa burudani. Mchezo unachezwa kutokana na mtazamo wa mazingira ya wazi ya ulimwengu, kuruhusu mchezaji kuingiliana na ulimwengu wa sasa kwa ajili ya burudani, pia unaweza ukacheza na mwenzako mtandaoni.

                                     

Mafumbo (semi)

Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali. Anayejibu atahitaji kufikiria ili kutoa jibu sahihi. Kinyume na vitendawili mafumbo huwa na majibu marefu. Kwa mfano: "utaniona utanikuza ukipenda lakini huwezi nisikia amri yangu ni wakubwa na wadogo, matajiri na maskini. Mimi ni nani?"