ⓘ Maisha

Maisha

Maisha ni muda ambao kiumbe hai anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na uzima wa milele, kwa kuwa uhai wake una mwanzo na mwisho. Hasa mwisho unasababisha maswali: kama kila chenye mwanzo kina mwisho, ya nini kuwepo kwake? Kukosa lengo, kuwepo bure, kutokuwa na maana kunamfanya mtu ajisikie mnyonge, pengine akate tamaa ya kuishi, la sivyo ajitose kufurahia mazuri yanayopatikana maishani, lakini bila uwezo wa kuondoa moyoni ule utupu wa maana unaomtia huzuni ya dhati. Ndiyo sababu maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu ya binadamu duniani: hawezi kukwepa maswali ya kutoka moy ...

Maisha ya kiroho

Maisha ya Kiroho katika Ukristo ndiyo maisha ya kuongozwa na Roho Mtakatifu nyuma ya Yesu Kristo kwa utukufu wa Mungu Baba. Ufuasi huo unafanyika pamoja na waamini wengine katika Kanisa, jumuia ya wanafunzi wa Yesu inayotokana na kundi la kwanza la Mitume wake. Mwanzo wake wa kawaida ni ubatizo, uliofananishwa na Yesu mwenyewe na aina ya kuzaliwa upya kwa maji na Roho Mtakatifu. Maisha hayo yanalishwa mfululizo na Neno la Mungu na ekaristi. Lengo ni kufikia muungano na Mungu katika uzima wa milele, lakini huo unaanzia hapa duniani katika ustawi wa maadili makuu ya imani, tumaini na upendo, ...

Kifungo cha maisha

Maisha gerezani ni hukumu cha kifungo kwa uhalifu mbaya ambapo mshtakiwa hubaki katika gereza kwa ajili ya mapumziko ya maisha yake. Mifano ya makosa ambayo mtu anaweza kupokea hukumu hii ni pamoja na: mauaji, uhaini wa hali ya juu, kali au vurugu na matukio ya madawa ya kulevya au biashara ya binadamu, au kuchochewa na matukio ya wizi kusababisha kifo au madhara ya kimwili makubwa. Hichi kifungo hakipatikaniwi katika nchi zote. Hata hivyo, ambapo kifungo cha maisha ni kifungo kiwezekanacho, kuna uwezekano pia kuomba mafuatilio rasmi ya kuomba kuachiliwa kwa masharti baada ya muda fulani k ...

Maana ya maisha

Maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwepo duniani na wa maisha kwa jumla. Suala hilo linaweza kujitokeza katika maswali mengi tofauti yanayohusiana, kama vile Mbona tumekuwepo?, Maisha yanahusu nini? na Ni nini maana ya haya yote? Binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na kifo, kwa mfano msiba wa ndugu au rafiki. Limekuwa suala kuu la udadisi wa sayansi, falsafa na teolojia tangu zamani. Kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali kiitikadi na kiutamaduni. Maana ya maisha imech ...

Mkaapweke

Katika Ukristo asili ya maisha hayo ni jangwa la Misri katika karne ya 3 na hasa ya 4. Paulo Mthebani + 250 hivi ni wa kwanza kujulikana. Antoni Abati, mmoja kati ya wale waliovutiwa naye, alijivutia umati wa wafuasi kusini mwa Misri: kutoka huko wakaapweke walienea kote mashariki mwa Dola la Roma, hasa Palestina Ilarioni, Kapadokia Basili Mkuu na Gregori wa Nazianzo. Wengi kati ya hao wa kwanza wanajulikana kati ya mababu wa jangwani. Baada ya Pakomi + 318 hivi kuanzisha maisha ya kijumuia kwa watawa na kuwatungia kanuni ya kwanza, mtindo huo ulizidi kuenea usifute kabisa ukaapweke. Ukaap ...

Mmonaki

Mmonaki ni mwanamume au mwanamke anayefanya juhudi za pekee katika dini yake, akiishi peke yake au katika jumuia ya kitawa, ambayo nyumba yake inaitwa monasteri.

Kazi

Kazi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu, hivyo ina nafasi kubwa katika anthropolojia, falsafa, teolojia,fizikia na sosholojia. Inafafanuliwa kama utendaji unatumia nguvu ya akili au ya mwili ili kufikia lengo fulani, ambalo mara nyingi ni faida ya kiuchumi ili kuweza na kuwezesha kuendelea kuishi. Lakini thamani yake halisi haiishii katika uzalishaji wa vitu, bali inategemea hasa ustawishaji wa utu katika vipawa vyake vyote kulingana na maadili na maisha ya kiroho. Kwa msingi huo, ni wajibu wa kila mtu aliyefikia ukomavu fulani. Ni pia mchango muhimu katika jamii na inayostahili kuhesh ...

Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes

Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes ni jina la kitabu kinachoelezea maisha na harakati zilizokuwa zinafanywa na hayati Abdulwahid Sykes katika kupigania uhuru wa Tanganyika kutoka mikononi mwa wakoloni katika miaka ya 1950. Harakati ambazo katika historia ya Tanzania leo hii haijawekwa wala kugusiwa. Kitabu kinaelezea historia iliyofichwa kuhusu Waislamu dhidi ya ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika.

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini

Maisha Yangu Baada ya Miaka Hamsini ni kitabu kilichoandikwa na Shaaban Robert mwenyewe akielezea historia na matukio yaliyotokea katika maisha yake na changamoto mbalimbali alizozipitia katika maisha yake ya kikazi kama muajiriwa wa Serikali na baadae kama muandishi wa mashairi. Kitabu hiki kitawasaidia sana wasomi, wataalamu na waandishi wa fasihi ya Kiswahili katika kufanya utafiti wa masuala mbalimbali yanayohusu fasihi kwa ujumla na wanafasihi wake. Ndani ya kitabu hiki zinapatikana zile tenzi mbili maarufu za Utenzi wa Hati na Adili ambazo aliwaandikia watoto wake wawili Mwanjaa na S ...

                                     

ⓘ Maisha

 • Maisha ni muda ambao kiumbe hai anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na uzima wa milele, kwa kuwa uhai wake una mwanzo na mwisho. Hasa mwisho unasababisha
 • Maisha ya Kiroho katika Ukristo ndiyo maisha ya kuongozwa na Roho Mtakatifu nyuma ya Yesu Kristo kwa utukufu wa Mungu Baba. Ufuasi huo unafanyika pamoja
 • Maisha gerezani pia yanajulikana kama kifungo cha maisha au maisha kifungoni ni hukumu cha kifungo kwa uhalifu mbaya ambapo mshtakiwa hubaki katika
 • Maisha Bora ni mji wa Kenya katika Mkoa wa Mashariki.
 • Maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwepo duniani na wa maisha kwa jumla. Suala hilo linaweza
 • kusali tu. Asia ilikuwa na maisha ya kitawa walau tangu karne ya 6 KK, hasa katika Uhindu na Ubuddha. Katika Ukristo asili ya maisha hayo ni jangwa la Misri
 • Maisha ya wakfu ni ufupisho wa Maisha yaliyowekwa wakfu kwa kushika mashauri ya Kiinjili Unaeleza hali ya pekee ya baadhi ya Wakristo ndani ya Kanisa
 • Kazi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu, hivyo ina nafasi kubwa katika anthropolojia, falsafa, teolojia, fizikia na sosholojia. Inafafanuliwa kama utendaji
 • mitindo na masharti ya maisha ya kawaida. Miundo mipya ya umonaki ilitegemea matatu: mwanzilishi, kanuni, upweke. Mtindo huo wa maisha ambao ndio mchango
 • Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes ni jina la kitabu kinachoelezea maisha na harakati zilizokuwa zinafanywa na hayati Abdulwahid Sykes katika kupigania
 • Dhima ya fasihi katika maisha zinaeleza jinsi fasihi inavyofanya kazi mbalimbali katika maisha ya binadamu, kama vile: kKuelimisha jamii kukuza lugha
 • تاریخ tarih kwa maana ya historia pia tena mapisi ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita. Mara nyingi neno hilo lina
                                     

Maisha ya wakfu

Maisha ya wakfu ni ufupisho wa "Maisha yaliyowekwa wakfu kwa kushika mashauri ya Kiinjili". Unaeleza hali ya pekee ya baadhi ya Wakristo ndani ya Kanisa inayotokana na uamuzi wao wa kumfuata Yesu katika mtindo wake wa maisha ya useja, ufukara na utiifu. Mara nyingi wanaoishi hivyo wanaunda shirika la kitawa, ingawa si lazima, na wanajifunga kwa nadhiri au matamko yanayofanana nayo.

                                     

Dhima ya fasihi katika maisha

Dhima ya fasihi katika maisha zinaeleza jinsi fasihi inavyofanya kazi mbalimbali katika maisha ya binadamu, kama vile: kKuelimisha jamii kukuza lugha kukuza utamaduni kuburudisha jamii kukomboa jamii kuhifadhi historia ya jamii.

                                     

Majanga

Majanga ni matukio yanayompata mtu, mara nyingi kama matokeo ya kufanya jambo ambalo si la kawaida katika jamii. Baadhi ya jamii zinaamini kuwa majanga hutokana na nguvu za giza au mikosi kutoka kwa wazazi au watu wenye mamlaka juu ya mhusika.