ⓘ Mbegu

Mbegu

Mbegu ni sehemu ya tunda la mmea inayoweza kuendelea kuwa mmea mpya. Mbegu ni njia ya kuzaliana kwa mimea mingi zinazoitwa kwa njia ya kibiolojia spermatophytina. Mbegu inaanzishwa ndani ya ua la mmea inaendelea kukua. Kuna mbegu ndogo sana ambazo ni vigumu kuona kwa jicho na mbegu kubwa kama nazi.

Jozi (tunda)

Jozi, koko au kokwa ni mbegu kavu za mimea kadhaa zinazoliwa kama chakula cha kibinadamu. Kibotania mbegu huitwa jozi kama tunda lina mbegu moja tu ndani yake na ganda linalozunguka mbegu yenyewe linakauka kuwa ngumu kama ubao. Kwa lugha ya kila siku jozi inaweza kuwa pia mbegu ya tunda lenye nyama, k.m. lozi, au vitembwe, k.m. nazi. Jozi na koko ni mbegu bila ganda lake, lakini kokwa kirasmi ni ganda la mbegu, ingawa watu wengi hutumia kokwa kwa maana ya mbegu pamoja na ganda lake. Ganda la jozi kwa maana ya kibotania limeundwa kwa ukuta wa ovari. Ganda la jozi nyingine imeundwa kwa tabak ...

Ua

Maua ni majani ya pekee kwenye sehemu za uzazi wa mimea. Mara nyingi kwa nje huwa na rangi za kuvutia na kwa sababu hii maua yanapendwa pia na wanadamu kama mapambo. Katika lugha ya kila siku neno "ua/maua" linataja pia mmea wote wenye maua.

Nazi (tunda)

Nazi ni tunda la mbegu la mnazi. Ina ganda la nje, ganda ngumu au mfuu wa ndani, nyama ya mbegu na utomvu ndani ya uwazi wa mbegu. Ina matumizi mengi katika maisha ya binadamu.

Kakao

Kakao ni zao la mkakao linalotolewa kutoka mbegu katika tunda linaloitwa mkokwa. Jina hilo hutumiwa kwa ajili ya mbegu za mkakao, unga unaotengenezwa kutoka mbegu hizo na pia kinywaji kinachotengenezwa kwa unga wa mbegu pamoja na maji, maziwa na sukari. Matumizi ya kakao yalianza pale Amerika ya Kati, hasa Meksiko ambako walipenda kinywaji lakini walitumia pia mbegu kama pesa. Mbegu ya kakao huvunjwa, hukaangwa na kusagwa; kuna mafuta mengi ndani ya mbegu, na kwa matumizi ya kinywaji ni lazima kutenganisha mafuta na unga kavu; hivyo sehemu kubwa ya mafuta ya kakao hutolewa; kwa chokoleti y ...

Tendo la ndoa

Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiiana, kati ya mwanamke na mwanaume. Tukiangalia viungo vya uzazi vya kike tunakuta kwenye kilango chake kizinda, yaani nyama nyembamba inayoondolewa na mwanamume wa kwanza anayekiingilia. Ndiyo sababu ni kama mhuri wa ubikira wa mwanamke. Katikati ya kizinda kuna tundu dogo tu kupitishia damu wakati wa hedhi, yaani siku zile ambazo anatokwa damu kupitia uke ulio nafasi ya wazi kati ya kizinda na tumbo la uzazi iliyo tayari kupokea uume na mbegu zake. Hizo zinasafiri muda wa saa sita hivi katika tumbo la uzazi ili kukifikia kijiyai katika mrija unaoliungan ...

                                     

ⓘ Mbegu

 • Mbegu ni sehemu ya tunda la mmea inayoweza kuendelea kuwa mmea mpya. Mbegu ni njia ya kuzaliana kwa mimea mingi zinazoitwa kwa njia ya kibiolojia spermatophytina
 • koko au kokwa ni mbegu kavu za mimea kadhaa zinazoliwa kama chakula cha kibinadamu. Kibotania mbegu huitwa jozi kama tunda lina mbegu moja tu mbili kwa
 • ndani yake. Chembekike ni kama yai la mnyama kikitunganishwa na mbelewele, mbegu unajitokeza. Pistili zimeundwa kwa kapeli moja au kadhaa ambazo ni aina
 • Nazi ni tunda la mbegu la mnazi. Ina ganda la nje, ganda ngumu au mfuu wa ndani, nyama ya mbegu na utomvu ndani ya uwazi wa mbegu Ina matumizi mengi katika
 • linalotolewa kutoka mbegu katika tunda linaloitwa mkokwa. Jina hilo hutumiwa kwa ajili ya mbegu za mkakao, unga unaotengenezwa kutoka mbegu hizo na pia kinywaji
 • mimea mingine na matunda yake ni makaka marefu yaliyo na mbegu zinazoitwa maharagwe. Licha ya mbegu hata makaka mabichi huliwa kama maharagwe - mboga. Ua Makaka
 • ya wazi kati ya kizinda na tumbo la uzazi iliyo tayari kupokea uume na mbegu zake. Hizo zinasafiri muda wa saa sita hivi katika tumbo la uzazi ili kukifikia
 • mimea zilizo na mbegu ndani yao. Kwa lugha ya biolojia ni ovari ya ua iliyoiva. Ovulo au chembekike ndani ya ovari zinakuwa mpaka kuwa mbegu Kwa hivyo hata
 • Yale maua petali huzai mbegu Kila ua mdogo ndani ya duara huwa na mbegu Mbegu huwa na ganda gumu na ndani yake uko mbegu mwenyewe mwenye kiwango kikubwa
 • maumbo rahisi ya jiometri inayoitwa geons. Mifano ya geons ni pamoja na mbegu na nyanja. Maumbo fulani rahisi yanaweza kuwekwa katika makundi machache
 • na punje za mbegu wa mmea. Kusudi yao ni kusambaza mbegu kwa sababu zinafanya kazi kama tanga zinashika nguvu ya upepo na kuwezesha mbegu kuelea hewani
                                     

Mharagwe

Mharagwe ni jina la mimea mbalimbali ya familia Fabaceae lakini mara nyingi sana Phaseolus vulgaris. Mimea hii inatambaa au inapanda juu ya mimea mingine na matunda yake ni makaka marefu yaliyo na mbegu zinazoitwa maharagwe. Licha ya mbegu hata makaka mabichi huliwa kama maharagwe-mboga.

                                     

Adidas Teamgeist

+ Teamgeist ni mpira ambao ulikuwa rasmi kwa Kombe la Dunia la FIFA ya 2006 nchini Ujerumani. Ishara "+" katika jina lake ilianzishwa kwa madhumuni ya biashara, kwa vile neno la kawaida la Kijerumani Teamgeist linamaanisha "roho ya timu", haikuweza kufanywa alama.

                                     

Alama dola

Alama dola au $ ni alama inayotumika ili kuonyesha vitengo vya fedha nyingi. Alama dola hutumika katika lugha za programu pia. Msimbo Unicode wa alama dola ni U+0024. Alama dola hutumika katika lugha za programu kama JavaScript, PHP au Python.

                                     

Azam Two

Azam Two ni kituo cha matangazo ya televisheni kirushacho matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki. Kituo hiki cha matangazo kinamilikiwa na kampuni ya matangazo Azam Media Group. Kampuni hii inamiliki vituo vingine mbali na kituo hiki, vituo hivyo ni kama vifuatavyo: Azam Sports HD 2 Azam One Azam Sports HD Sinema Zetu

                                     

Baruku

Baruku ni jina la watu watatu katika Biblia: Baruch, mwana wa Kol-Hozeh, mtu wa kabila la Yuda aliyehamia Yerusalemu Baruku, mwana wa Zabbai, msaidizi wa Nehemia katika kujenga upya kuza za Yerusalemu Nabii Baruku, mwana wa Neria, karani na msaidizi wa nabii Yeremia

                                     

Basbasi

Basbasi ni ngozi ngumu iliyomo katika tunda dogo la aina ya kungumanga. Pia ni kiungo cha chakula au kitoweo chenye ladha ya kuwashawasha. Ni kati ya mazao maarufu ya Zanzibar.

                                     

Ben 10

Ben 10 ni mfululizo wa televisheni ya Marekani na vyombo vya habari vya mfululizo huo vinavyoundwa na Man of Action Studios na zinazozalishwa na Cartoon Network Studios. Mfululizo wa Ben 10 unaanza mvulana aitwaye Ben Tennyson ambaye anapata kifaa kigeni ambayo ni Omnitrix ambayo inaruhusu mwenye kuvaa kuwa viumbe kumi tofauti. Mifululizo ya Ben 10 imepata sifa kubwa sana, kushinda tuzo za Emmy tatu. Ulimwenguni kote umepata dola bilioni 4.5 kwa mauzo ya rejareja.

                                     

Bendera ya Somaliland

Bendera ya Somaliland ina milia mitatu ya kulala ya rangi kijani, nyeupe na nyekundu. Ndani ya mlia nyeupe kuna nyota nyeusi. Kuna maandishi ya Kiarabu ndani ya sehemu ya kijani yanayosema "la ilaha ill-Allah, Muhammadan Rasulullah لا إله إلاَّ الله محمد رسول الله, Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni mtume wa Allah. Hii bendera ni bendera rasmi ya nchi ya Somaliland isiyotambuliwa kimataifa; iko katika kaskazini ya Somalia.

                                     

Bernhard Heine

Bernhard Heine alikuwa ni mtabibu na mtaalamu wa mifupa wa Kijerumani. Yeye ndiye mgunduzi wa osteotomi, chombo kinachotumika kukata mifupa.

                                     

Bodoni

Bodoni ni jina la fonti za serif zilizoundwa kwa mara ya kwanza na Giambattista Bodoni mwishoni mwa karne ya 18 na ilitumiwa mara nyingi. Pia ni aina ya mwandiko unaopatikana kwenye kompyuta. Aina za Bodoni zimeainishwa kama Didone au ya kisasa. Bodoni alifuata mawazo ya John Baskerville. Bodoni alikuwa na kazi ya muda mrefu na miundo yake ilibadilika na kuwa ya aina tofautitofauti.