ⓘ Orodha

Orodha ya mapapa

Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma. Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268. Hakuna orodha rasmi ya mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko ni papa wa 266.

Orodha ya makabila ya Kenya

Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya Ethnologue. Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Kenya, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Kenya na nchi za jirani. Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi Kenya kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani, wala vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia, Uhindi au nchi nyinginezo.

Orodha ya milima

Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya: Manaslu m 8.163, Nepal, Asia Shishapangma m 8.012, Tibet, Asia Kangchenjunga m 8.586, Nepal - India, Asia Annapurna m 8.091, Nepal, Asia Gasherbrum I m 8.080, Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia Makalu m 8.463, Nepal - Tibet, Asia Dhaulagiri m 8.167, Nepal, Asia Cho Oyu m 8.188, Nepal - Tibet, Asia Lhotse m 8.511, Nepal - Tibet, Asia Nanga Parbat m 8.125, Pakistan, Asia K2 m 8.611, Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia Everest m 8.848, Nepal - Tibet, Asia

Orodha ya mito nchini Tanzania

Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2.000, lakini hiyo ni baadhi tu. Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo: kadiri ya alfabeti. kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Hindi mashariki mwa nchi ama moja kwa moja ama kwa kuchangia Mto Zambezi kupitia Ziwa Nyasa, lakini kuna pia mito michache inayochangia Bahari ya Kati kupitia Ziwa Viktoria na mto Naili, na mingine tena Bahari Atlantiki kupitia Ziwa Tanganyika, huku mingine inaishia katika mabonde nchini kama la Ziwa Rukwa; kadiri ya mikoa inapopatikana;

Orodha ya Watakatifu wa Afrika

Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo.

Orodha ya visiwa vya Uganda

Kisiwa cha Kaserwa Kisiwa cha Ziru Kalangala Kisiwa cha Namubega Kisiwa cha Bagwe Kisiwa cha Lujabwa Kisiwa cha Galo Kisiwa cha Lukiusa Kisiwa cha Ntokwe Kisiwa cha Buvu Kisiwa cha Baga Kisiwa cha Ngabo Kisiwa cha Ziro Kisiwa cha Kibibi Kusini Kisiwa cha Buiga Wakiso Kisiwa cha Batwala Kisiwa cha Kibibi Kaskazini Kisiwa cha Namite Kisiwa cha Dwasendwe Kisiwa cha Limaiba Kisiwa cha Mawe Kisiwa cha Kiwa Uganda Kisiwa cha Sege Kisiwa cha Kerenge Kisiwa cha Lwabana Kisiwa cha Bulanku Kisiwa cha Kuiye Kisiwa cha Bugaia Kisiwa cha Mpande Kisiwa cha Luserera Kisiwa cha Ziru Buvuma lat -0.09, long ...

                                     

ⓘ Orodha

  • Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma. Inawezekana kuwa
  • Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya Ethnologue. Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika
  • Orodha ya milima duniani inataja baadhi tu. Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya: Everest m 8, 848
  • Orodha ya viwanja vya ndege katika Tanzania. Airports in Tanzania
  • Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2, 000, lakini hiyo ni baadhi tu. Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo: kadiri inavyoelekeza
  • Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa
  • Orodha ya visiwa vya Uganda inavitaja vingi, lakini pengine si vyote. Kisiwa cha Anyi Kisiwa cha Utsene Kisiwa cha Baga Kisiwa cha Bagwe Kisiwa cha Banda
  • Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476. Baada ya Dola la Roma Magharibi
  • Hii ni orodha ya visiwa vya Tanzania. Kisiwa cha Chabalewa Kisiwa cha Kwankoro Kisiwa cha Mubari Kisiwa cha Nyakaseke Kisiwa cha Lundo Kisiwa cha
                                     

Orodha ya Makaizari wa Roma

Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476. Baada ya Dola la Roma Magharibi kukomeshwa, sehemu za Italia zilitawaliwa na wafalme wa mataifa mengine.

                                     

Orodha ya Makardinali

Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007. Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza jina lake. Uteuzi huu huitwa "in pectore" kilatini "moyoni". Hii inaweza kutokea hasa kama ni kardinali kutoka nchi pasipo uhuru wa kidini au nchi ambayo haina uhusiano mzuri na kanisa katoliki. Tarehe hii hakuwepo yeyote wa namna hiyo. Majina yamepangwa kufuatana na bara na nchi.

                                     

Orodha ya benki

Orodha ya benki barani Australia na Pasifiki Orodha ya benki barani Amerika Orodha ya benki barani Asia Orodha ya benki barani Ulaya Orodha ya benki barani Afrika

                                     

Orodha ya Mashirika ya Ndege Duniani

LAI - Linea Aerea IAACA Santa Barbara Airlines Linea Turistica Aerotuy Avensa LASER Aeropostal Alas de Venezuela Vensecar Internacional Sol America Aserca Airlines Rutaca Venezolana Servivensa Conviasa Avior Airlines Sundance Air Venezuela Aero Ejecutivos

                                     

Orodha ya balozi nchini Kenya

Hii ni orodha ya balozi nchini Kenya. Kwa sasa kuna balozi/misheni za kidiplomasia 84 jijini Nairobi, na konsulati mbili jijini Mombasa. Konsulati zisizo rasmi hazijaorodheshwa hapo chini:

                                     

Orodha ya makampuni ya Tanzania

Tanzania Electric Supply Company Limited TANESCO Tanseed International Ltd Tanzania Railways Corporation Tanzania China Friendship Textile Company Tanzania Telecommunications Company Limited Tanzanian and Italian Petroleum Refining Company Limited

                                     

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari inaorodhesha mahali palipoandikishwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO na baadaye kuonekana ziko hatarini kuharibika. Sababu zinazotajwa kama "hatari" ni pamoja na ujenzi, vita au mapigano, usimamizi mbaya au mabadiliko ya kisheria yanayoondoa hali ya ulinzi wa sehemu hizi. Sababu nyingine zinaweza kuwa za kiasili kutokana na mabadiliko ya kijiolojia, kama vile tetemeko la ardhi, tabianchi au mazingira.