ⓘ Ukabidhi wa Wikipedia

Wikimedia Commons

Wikimedia Commons ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha, za sauti na nyinginezo. Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote; tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote. Wikimedia Commons ni mradi wa Wikimedia Foundation.

Dola Takatifu la Kiroma

Dola Takatifu la Kiroma si sawa na Dola la Roma la Kale. Dola Takatifu la Kiroma lilikuwa jina la Ujerumani kati ya takriban mwaka 1000 na 1806. Lakini dola hilo, licha ya Ujerumani, lilikuwa pia na maeneo makubwa, yakiwa ni pamoja na Austria, Italia ya Kaskazini, Ubelgiji, Uholanzi na Ucheki wa leo. Mipaka yake yalibadilika mara kadhaa katika karne nyingi za kuwako kwake.

                                     

ⓘ Ukabidhi wa Wikipedia

  • Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote
  • la translatio imperii kwa Kilatini: ukabidhi wa mamlaka la kuwa mamlaka ya Kaisari yaliyokuwa na Waroma wa Kale na sasa yalikabidhiwa kwa Wajerumani