ⓘ Wakati

Wakati

Wakati ni neno la kutaja ama ufuatano wa matokeo au muda ama kipindi ambamo jambo latokea. Tunaishi katika wakati na tunapanga maisha yetu kufuatana na wakati lakini si rahisi kusema wakati ni kitu gani. Sayansi, fizikia, falsafa na dini zote zina njia mbalimbali za kuangalia na kueleza wakati.

Mwezi (wakati)

Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. Mwezi mpevu unaonekana kama duara kamili la kungaa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa mwezi mwandamo. Baadaye mwezi unaonekana tena kama hilali nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupita mara 1 ni siku 29 1/4. Muda wa mabadiliko kati ya mwezi mwandamo hadi kupotea na kuwa mwezi mwandamo tena ni kati ya siku 28 - 29. Kipindi hiki kinakumbukwa kirahisi, kinatazamiwa na watu wote wakati uleule kwa hiyo pamoja na kipindi cha siku kilikuwa ...

Muda sanifu wa dunia

Muda sanifu wa dunia ni utaratibu wa kulinganisha saa na wakati kote duniani. Unarejea wakati kwenye longitudo ya Greenwich karibu na London na longitudo hii huitwa pia meridiani ya sifuri.

Asubuhi

Asubuhi ni kipindi cha siku ambacho kinaleta mwanga wa kwanza wa mchana baada ya giza la usiku. Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa kuamka kwa kutoka usingizini ili kuanza shughuli mbalimbali. Katika dini mbalimbali, ni wakati muhimu wa sala.

Siku

Mabadiliko hayo ya mchana na usiku husabibishwa na mzunguko wa dunia kwenye mhimili wake. Upande wa dunia unaotazama jua unapata mwanga wa mchana lakini upande mwingine usiotazama jua unakuwa gizani. Sisi pamoja na vitu vyote vilivyo juu ya uso wa dunia, yaani bahari, mito, milima, binadamu, misitu, majangwa, majengo, barabara na kila kitu unachoweza kuwaza kuwa kipo kwenye uso wa dunia, basi vyote huwa katika mwendo kadiri dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake. Hivyo basi, wakati upande ule wa uso wa dunia tulipo unapogeukia au kutazamana na jua, basi kwetu inakuwa mchana, pale ambap ...

Kitenzi

Kitenzi ni istilahi ya sarufi kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika. Lugha nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na majina.

                                     

ⓘ Wakati

  • Wakati ni neno la kutaja ama ufuatano wa matokeo au muda ama kipindi ambamo jambo latokea. Tunaishi katika wakati na tunapanga maisha yetu kufuatana na
  • kinatazamiwa na watu wote wakati uleule kwa hiyo pamoja na kipindi cha siku kilikuwa kati ya vipimo vya kwanza vya wakati kwa binadamu. Inawezekana kwamba
  • Vielezi vya wakati alama yake ya kiisimu ni: E ni maneno yanayofafanua kielezi kwa kujulisha wakati ambao kitenzi hicho kinatendeka kimetendeka. Vielezi
  • universal time coordinated ni utaratibu wa kulinganisha saa na wakati kote duniani. Unarejea wakati kwenye longitudo ya Greenwich karibu na London na longitudo
  • binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa kuamka kwa kutoka usingizini ili kuanza shughuli mbalimbali. Katika dini mbalimbali, ni wakati muhimu wa sala.
  • katika mwendo kadiri dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake. Hivyo basi, wakati upande ule wa uso wa dunia tulipo unapogeukia au kutazamana na jua, basi
  • Kwa chombo cha kupimia wakati tazama saa ala Saa ni kipimo cha wakati Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekunde lakini ni kawaida kote duniani pia
  • kumtajia askofu yeyote aliyejidai kuwa Papa wa Roma, lakini madai yake hayakukubaliwa na wengi wakati wake, au hayakubaliwi na Kanisa Katoliki wakati huu.
  • njeo au wakati - kama tendo linatokea sasa au lilitokea wakati uliopita au litatokea wakati ujao  mifano ni silabi za a pamoja na na kwa wakati wa sasa
  • angani, sawa na kalenda ya Kiislamu. Mwezi mpya unaanza wakati wa kuonekana kwa hilali. Wakati huo huo, Pasaka ya Kiyahudi inapaswa kutokea kwenye majira
                                     

Vielezi vya wakati

Vielezi vya wakati vinaweza kuwa vya: Matukio ya Kihistoria, n.k. Nyakati za siku Majina ya miezi Majira ya mwaka Wiki Majina ya siku Mwaka Mifano Wakulima hupanda wakati wa vuli! Harusi yake itafungwa Jumapili hapa inataja majina ya siku katika juma. Masanja alizaliwa wakati wa vita ya majimaji hapa inarejea tukio la kihistoria. Nitasafiri wiki ijayo hapa inataja wiki Ashura alitoroka majogoo. Jambazi sugu ameuawa leo usiku.

                                     

Antipapa

Antipapa ni jina linalotumiwa na wanahistoria kumtajia askofu yeyote aliyejidai kuwa Papa wa Roma, lakini madai yake hayakukubaliwa na wengi wakati wake, au hayakubaliwi na Kanisa Katoliki wakati huu.

                                     

Saa

Kwa chombo cha kupimia wakati tazama saa ala Saa ni kipimo cha wakati. Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekunde lakini ni kawaida kote duniani pia katika matumizi ya kisayansi. Saa inagawiwa kwa dakika 60 na sekundi 3.600. Siku ina takriban masaa 24.

                                     

Mchana

Mchana ni kipindi chote cha siku ambapo nuru ya jua inaangaza sehemu fulani ya dunia. Kinyume chake ni usiku. Kwa wakati mmoja, jua linaangaza karibu nusu ya dunia. Huko ni mchana, kumbe katika nusu ya pili ni usiku. Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa utendaji mwingi zaidi.

                                     

Greenwich Mean Time

Greenwich Mean Time ni kipimo cha wakati kwa ajili ya kanda muda. Mahali pa kipimo hicho ni mji wa Greenwich ambao siku hizi ni sehemu ya jiji la London, Uingereza.