ⓘ Watu

Binadamu

Binadamu ni neno lenye asili ya Kiarabu linalomaanisha "Mwana wa Adamu", anayeaminiwa na dini za Uyahudi, Ukristo na Uislamu kuwa ndiye mtu wa kwanza.

Jamhuri ya Watu wa China

China pia: Uchina, Sina ; kirefu: Jamhuri ya Watu wa China ni nchi kubwa ya Asia ya Mashariki ambayo ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani. China imepakana na Vietnam, Laos, Myanmar, India, Bhutan, Nepal, Pakistan, Afghanistan, Tajikistan, Kyrgyzstan, Kazakhstan, Urusi, Mongolia, Korea ya Kaskazini. Kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Kusini ya China na Bahari ya Mashariki ya China ambazo ni bahari ya kando ya Pasifiki. China kuna makabila 56 tofauti. Wahan ndio kabila kubwa zaidi nchini China kwa idadi ya watu ikiwa na asilimia 92. Lugha rasmi ni Kichina cha Mandarin kinachotumiwa ...

Watu wazima

Watu wazima Kibiolojia linaweza kumaanisha watu wale walio hai, hasa wakiwa na afya njema, tofauti na wafu na wagonjwa. Lakini kwa kawaida linatumika kutofautisha wale waliofikisha umri au kuwa na uwezo wa kuzaa na watoto. Kwa kwenda mbali zaidi, maneno hayo yanatofautisha waliokomaa kiutu na vijana pia ambao, ingawa wameshabalehe, hawana ukomavu ule unaohitajika kukabili majukumu yote katika jamii, hasa chini ya miaka 18. Kwa msingi huo, sheria zinawapangia haki na wajibu kadiri ya nchi. Kwa nchi kama Tanzania pengine utu uzima unahesabika kuanza miaka 40 Habari hii inatakiwa kuthibitishw ...

Waturkana

Waturkana ni watu wa jamii ya Waniloti wa Kenya, idadi yao ikiwa karibu 340.000. Ni wakazi wa Kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya, eneo kame na kavu linalopakana na Ziwa Turkana upande wa mashariki. Kusini kwao wanaishi Wapokot Wapökoot, Warendille na Wasamburu. Lugha ya Waturkana, lugha yenye asili ya Kiniloti cha Mashariki, hujulikana kama Kiturkana; jina lao kwa lugha hii ni Ngaturkwana. Waturkana wanajulikana kwa kufuga ngamia na kushona vikapu. Katika fasihi simulizi zao, hujiita watu wa fahali ya kijivu, kutokana na Zebu, ambaye ukuzaji wake una nafasi muhimu katika hist ...

Watu weusi

Watu weusi ni msamiati unaotumika mara nyingi kumaanisha watu kutoka Afrika kusini kwa Sahara au watu wenye asili kutoka hapa. Lakini si istilahi kamili kwa sababu kwanza kuna tofauti kubwa duniani ni watu gani wanaotazamwa kuwa "weusi" halafu kuna pia watu wenye rangi ya ngozi hiyo nyeusi kiasi au ya kahawia katika maeneo mbalimbali ya dunia, kuanzia India kusini kupitia Papua Guinea Mpya, Australia hadi Visiwa vya Melanesia "visiwa vya Watu Weusi" katika Bahari ya Pasifiki, ambao wote hawana uhusiano na Afrika zaidi ya binadamu wote. Halafu wako watu wengi wenye asili ya Afrika waliopele ...

Wala watu wa Tsavo

Wala-Watu wa Tsavo walikuwa Simba wawili waliojulikana sana kwa kuwala binadamu. Simba hawa walisababisha vifo vya idadi kubwa ya wajenzi wa Reli ya Kenya-Uganda, tangu Desemba, 1898.

                                     

ⓘ Watu

  • wa jenasi Homo ambao wote walitoweka walau miaka 12, 000 hivi iliyopita. Watu wote walioko leo hii ni spishi ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile
  • pia: Uchina, Sina kirefu: Jamhuri ya Watu wa China ni nchi kubwa ya Asia ya Mashariki ambayo ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani. China imepakana
  • Watu wazima Kibiolojia linaweza kumaanisha watu wale walio hai, hasa wakiwa na afya njema, tofauti na wafu na wagonjwa. Lakini kwa kawaida linatumika
  • Waturkana ni watu wa jamii ya Waniloti wa Kenya, idadi yao ikiwa karibu 340, 000. Ni wakazi wa Kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya, eneo kame
  • Watu weusi ni msamiati unaotumika mara nyingi kumaanisha watu kutoka Afrika kusini kwa Sahara au watu wenye asili kutoka hapa. Lakini si istilahi kamili
  • deletion. See templates for discussion to help reach a consensus. Wala - Watu wa Tsavo walikuwa Simba wawili waliojulikana sana kwa kuwala binadamu. Simba
  • Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingawa inajitawala katika mambo ya ndani. Hadi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka
  • nchini Burundi, Bi. Khadja Nin. Hii ni orodha ya nyimbo katika albamu hii Wale Watu Wale Watu Instrumental Rudiya Wale Watu katika wavuti ya Discogs
  • Watu wa Emirati kwa Kiarabu: إماراتي ni raia na kundi la kikabila la United Arab Emirates UAE Waemirati wengi, pamoja na wale walio katika familia
  • Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu makadirio ya Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2017 Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo
                                     

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu kwa kila km². Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia. Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa pia.

                                     

Buchner

Buchner ni jina la kaka yake Hans Buchner 1850-1902, daktari Mjerumani Eduard Buchner 1860-1917, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907 na Hans Buchner mwingine 1483-1538, mtungaji wa muziki Mjerumani

                                     

Dhothar

Dhothar ni jina la ukoo wa Jat. Akina Dhothar huishi katika Punjab, pande zote Pakistan na Uhindi. Akina Dhothar wa Pakistan ni Waislamu na wale wa Uhindi hufuata dini ya Kalasinga.