ⓘ Wazo

Dhana

Dhana ni wazo lisilo bayana wala la hakika lakini mtu au jamii wanaweza kuwa nalo na kulipendekeza kwa wengine ili lizidi kuchunguzwa upande wa falsafa, sayansi n.k. kwa kutumia hoja, vipimo na njia nyingine za kufikia ukweli.

Dogma

Dogma ni neno linalotumika hasa kumaanisha fundisho la imani lisiloweza kukanushwa na wafuasi wa dini fulani. Linaweza kutumika pia kwa maana isiyo ya kidini.

Muungano wa Madola ya Afrika

Muungano wa Madola ya Afrika ni wazo lililopendekezwa kwa ajili ya shirikisho la baadhi ya nchi zote huru 54 za katika bara la Afrika. Wazo hili linatokana na shairi la Marcus Garvey la mwaka wa 1924, Hail, United States of Africa. Kiongozi wa zamani wa Libya Muammar al-Gaddafi, ambaye 2009 alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika UA, aliendeleza wazo la Muungano wa Madola ya Afrika katika mikutano mwili ya kanda ya Afrika: wa kwanza mwezi Juni 2007 mjini Conakry, Guinea, halafu tena mnamo mwezi wa Februari mwaka 2009 mjini Addis Ababa, Ethiopia. Gaddafi awali alisukuma kuanzishwa kwa suala h ...

Nomino

Nomino ni aina ya neno linalotaja jina la kitu, mahali, mnyama, mtu, sifa au wazo. Nomino hutokea kwa umbo la umoja au uwingi: kitu, vitu; mtu, watu. Nomino pamoja na kitenzi hufanya sentensi: mtu anatembea.

Miungu

Miungu ni jina linalojumlisha wahusika wanaoabudiwa katika dini mbalimbali kama wenye nguvu na enzi juu ya maisha ya binadamu. Huogopwa kama Mwenyezi Mungu. Katika utamaduni wa Kibantu kwa jumla hakuna wazo la miungu mingi. Katika mapokeo hayo Mungu ni mmoja tu, lakini kuwasiliana naye kulifanyika kwa njia ya mizimu hasa, si moja kwa moja. Hata hivyo katika maeneo kadhaa kulikuwa na wazo la kuwepo kwa pepo muhimu waliostahili ibada inayofanana na ile inayotolewa kwa miungu. Katika sehemu nyingi za dunia utamaduni wa asili ulikuwa na imani ya miungu mingi, jinsi ilivyo katika sehemu nyingi ...

Nembo

Nembo ni alama au mchoro unaowakilisha au unaosimama badala ya mtu, wazo, picha inayoonekana au kitu fulani. Nembo zinachukua mfumo wa maneno, sauti, mawazo au picha inayoonekana ambazo zinatumika kuelezea mawazo au imani nyingine. Kwa mfano, oktagoni nyekundu inaweza kuwa nembo inayowakilisha "SIMAMA". Katika ramani mstari wa rangi ya buluu unaweza kuwakilisha mto. Tarakimu ni nembo ya namba. Herufi za alfabeti zinaweza zikawa nembo za sauti. Majina binafsi ni nembo zinazowakilisha watu. Waridi jekundu linaweza kuwakilisha upendo.

Ukweli

Ukweli ni lengo la akili katika kujua mambo yote kwa dhati iwezekanayo. Unaweza kujulikana kuanzia hisi kwa kufikiria, lakini pia kwa kushika imani ya dini fulani inayosadikiwa imefunuliwa na Mungu. Wazo hilo ni la msingi hasa katika Ukristo, na kwa namna ya pekee katika Injili ya Yohane.

Muungano wa Afrika

Muungano wa Afrika ni jina la harakati iliyolenga kuunganisha watu wote duniani walio Waafrika au wenye asili ya Afrika. Hao ni pamoja na wakazi wa Afrika yenyewe na watu wenye asili ya Kiafrika katika nchi za Amerika na sehemu nyingine ambao mababu wao walipelekwa huko wamefungwa wakiuzwa katika biashara ya watumwa. Mara nyingine yalihesabiwa humo hata maslahi ya watu wa rangi nyeusi ambao ni wakazi asilia wa Melanesia ya Pasifiki.

Kitenzi kikuu

Kitenzi kikuu ni kitenzi ambacho hutoa wazo kwa tendo ambalo linatendwa na nomino au kiwakilishi cha nomino. Mara nyingi kitenzi kikuu hukaa peke yake katika sentensi na hutoa taarifa kamili bila ya kuhitaji msaada wa kitenzi kingine. Mifano Shamba letu limepandwa migomba Sisi tunasoma somo la Kiswahili Juma ameandika barua ya kuomba kazi Chakula kimepikwa vizuri Babu yangu analima shambani

                                     

ⓘ Wazo

  • Wazo ni jina la kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 14130.Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa
  • bendera la taifa. Nyimbo za taifa zilianza kuwa kawaida katika karne ya 19 katika madola ya Ulaya zikaenea polepole kote duniani pamoja na wazo la utaifa
  • Dhana kutoka neno la Kiarabu ni wazo lisilo bayana wala la hakika lakini mtu au jamii wanaweza kuwa nalo na kulipendekeza kwa wengine ili lizidi kuchunguzwa
  • linatokana na kitenzi δοκω, doko. Maana zake zilikuwa tatu: 1. rai 2. wazo fundisho la falsafa au dini 3. uamuzi, tamko. Dogma ya imani inamaanisha
  • Madola ya Afrika ni wazo lililopendekezwa kwa ajili ya shirikisho la baadhi ya nchi zote huru 54 za katika bara la Afrika. Wazo hili linatokana na shairi
  • mnunuzi katika mauzo, biashara na uchumi, ndiye mpokeaji wa huduma, bidhaa, au wazo kutoka kwa muuzaji kupitia shughuli ya kifedha au ubadilishaji kwa pesa au
  • Nomino ni aina ya neno linalotaja jina la kitu, mahali, mnyama, mtu, sifa au wazo Nomino hutokea kwa umbo la umoja au uwingi: kitu, vitu mtu, watu. Nomino
  • Huogopwa kama Mwenyezi Mungu. Katika utamaduni wa Kibantu kwa jumla hakuna wazo la miungu mingi. Katika mapokeo hayo Mungu ni mmoja tu, lakini kuwasiliana
  • Nembo ni alama au mchoro unaowakilisha au unaosimama badala ya mtu, wazo picha inayoonekana au kitu fulani. Nembo zinachukua mfumo wa maneno, sauti, mawazo
  • pia kwa kushika imani ya dini fulani inayosadikiwa imefunuliwa na Mungu. Wazo hilo ni la msingi hasa katika Ukristo, na kwa namna ya pekee katika Injili
                                     

Wazo (Kinondoni)

Wazo ni jina la kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 14130.Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 90.825 waishio humo.

                                     

Wimbo wa Taifa

Wimbo wa Taifa kwa kawaida ni wimbo ulioteuliwa na serikali au kwa njia ya sheria na kutumiwa wakati wa nafasi maalumu kama alama au ishara ya taifa, nchi dola na kadhalika. Matumizi yake mara nyingi hufanana na matumizi ya bendera la taifa. Nyimbo za taifa zilianza kuwa kawaida katika karne ya 19 katika madola ya Ulaya zikaenea polepole kote duniani pamoja na wazo la "utaifa".

                                     

Mteja

Mteja katika mauzo, biashara na uchumi, ndiye mpokeaji wa huduma, bidhaa, au wazo kutoka kwa muuzaji kupitia shughuli ya kifedha au ubadilishaji kwa pesa au jambo lingine muhimu.